Pages

June 13, 2008

Bajeti

Pamoja na bajeti ya mwaka huu kutoongeza ushuru ktk mafuta ya petrol lakini bidhaa hii imekuwa ikipaa kila uchao na sasa diesel ndo bei mbaya kuliko petrol. Je ni kwanini hali hii? naomba michango yenu wadau.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment