SAMAHANI WADAU KWA KUTOKUWA EWANI KWA KITAMBO KIDUCHU HII NI KUTOKANA NA VAKESHENI VISIWA VYA MARASHI VYA PEMBA, UJUMBE HUU UMENIVUTIA SANA NIKAONA SI VIBAYA KUSHEA NA WADAU NA IKIWEZEKANA BASI HUKO BONGO NAKO SI VIBAYA TUKAIGA WENZETU HAWA WA VISIWA VYA MARASHI YA KARAFUU. YAANI KWA MFANO UKUTANO NALO ILI BANGO KULE SINZA NAMNANI AU BUGURUNI SEWA HATA TEMEKE NA KINONDONI KATIKA NYUMBA ZA KULALA "WAGENI" WENYEJI WA BONGO. AU MWASEMAJE WADAU?
Hewani au Ewani?
ReplyDeleteTunalijua hili. Au wameanza kuruhusu.
ReplyDelete