Mechi ya marudiano kati Tanzania na Uganda inachezwa mjini Kampala hadi mapumziko matokeo yalikuwa 1-1 hii inawapa nafasi ya kusonga mbele Vijana wa JK Boys ukizingatia matokeo ya mechi ya awali waliwachapa 2-0 mjini Dar.
MPIRA UMEKWISHA NA MATOKEO NI 1-1 AGGREGATE 3-1
STARS YASONGA MBELE.
No comments:
Post a Comment