Pages

April 11, 2008

Edward Moringe Sokoine, JE Twamkumbuka?

Kesho ni Miaka mingapi toka shujaa huyu wa Tanzania atutoke?
na ni nani ana kumbukumbu nzuri ya nini kilitokea siku hiyo ata taifa kupata msiba mkuu wa kwanza kama ule?
kwa wale wenye kumbukumbu sahihi na ambao angalau wakti ule mlikuwa na akili timamu kidogo naomba mtukumbushe nini kilitikoea na jinsi gani ilitangazwa redioni na nani.
naomba mtumumie yote hayo ktk email yangu, brwebangira@gmail.com au bernardy115@yahoo.com au tuma kama maoni tu ktk blog hapo chini.
yote mtakayotuma nitayatoa kama maoni ktk comment.

No comments:

Post a Comment