Pages

April 28, 2008

Precision yaja na BOEING 737-300

Abiria wakiwasili ktk jiji la Mwanza au Rock city. Captain Kalero Mkandawile na First Officer Owen Mshiu wakiwa tayari kuluka ktk Boeing 737-300 Kampuni ya Precision air leo imezindua ndege yake mpya ya Boeing 737-300 yenye uwezo wa kuchukua abiria 116, hii ni ndege ya kwanza kubwa na yenye uwezo wa kuchukua abiria wengi kwa kampuni hii

No comments:

Post a Comment