Pages

April 3, 2008

KOMREDI MUGABE MAJI YA SHINGO

Habari tulizozipta toka Zimbabbwe zinasema kuwa Mzee Robert Mugabe ambaye amekuwa rais wa Zimbabwe kwa miaka mingi mno, anaweza kuwa ameshindwa vibaya sana katika uchaguzi wa Rais.

No comments:

Post a Comment