Pages

April 17, 2008

Chenge- "Hivyo ni visenti tu"

Big Up kwa saaaaaaana chenge,
hivyo si viela bwana ni visenti tu tatizo ni umasikini wetu au kuongoza watu maskini kama wabongo ndo maana hata vibilioni kiduchu hivi wanakuita fisadi hatujui watu wenye fweza ndo tatizo letu hilo.

No comments:

Post a Comment