Pages

April 19, 2008

ALA KUMBE!!!!! 3G

Mambo ya 3G na voda hayo, wamwona live unayeongea naye kwenye simu, Onyo wale jamaa zangu mlozoea kucheat au kuongopa hii haikufai kwani utaonekana pale ulipo na unayeongea naye. so please take care. Mambo ya VODACOM HAYO.

No comments:

Post a Comment