Eeeh Mungu sikia kilio chetu, Lundo la vyombo likionekana nyuma ya Mtoto Anania mala baada ya nyumba yao kubomolewa na tingatinga la jiji siku ya Ijumaa ni siku ya tatu sasa familia zilizokuwa Tabata Dampo zinalala nje baaday ya kuvunjiwa nyumba zao pasi na taarifa.
No comments:
Post a Comment