Pages

February 2, 2008

Bush ziara

Ziara ya Rais Bush pamoja na usumbufu utakaotokana nayo italeta pia neema kwa baadhi ya sehemu na watu, mfano toka kupata Uhuru kuna sehemu bongo japo ni nyeti na zipo katikati ya jiji hakukuwa na taa kama hii ya Sea view au Mtaa maarufu wa Azikiwe yote hii itawekewa taa za barabarani, pia Nyerere road yawekewa rami upyaaaaa. Kali ni kuwa Hoteli zote kubwa zimechukuliwa na kulipiwa kabisa pamoja na minong'ono kuwa kuna vyumba vyafanyiwa maerekebisho ili viendane au vifae kukaa mbwa maalumu wa Bush.

No comments:

Post a Comment