Supika Sitta yasemekana amehairisha safari ya Mamtoni na kurudi kuendelea na Bunge.
Wiki iliyopita alimpiga stop Naibu Supika kuendesha mijadala ya Richmond na BOT, na kuwa itajadiliwa mara atakaporejea safari ya US ambayo angeondoka leo,
Bongo pixs imemshuhudia leo hii ktk Law day na kuteta na JK pengine ndo kamtuliza arudi Dom!!
No comments:
Post a Comment