Pages

February 7, 2008

Anne Kilango Malecela apigilia msumari wa moto

Mbunge wa Same Mashariki CCM Anne Kilango asema,
  • Viongozi wetu Wametutia Aibu sana.
  • Mtoto ukimwambia acha ndio wamtuma, aliambiwa au aliandikiwa walaka kuwa acha kuzungumza Richmond ndo wakamtuma kufatilia zaidi.
  • Tumechoka kubuluzwa sasa kazi ni moja tu,
  • Richmond ni kama Masumin yaani kampuni ya vifaa vya ofisini tu na si kuzalisha Umeme.

No comments:

Post a Comment