Mbunge Zito Kabwe
akiondolewa na askari wa Kituo cha Merarani baada ya wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite kumvamia wakitaka kumbeba muda mfupi baada ya Kamati hiyo inayoongozwa na Jaji Mark Bomani, kusikiliza maoni ya wananchi jana zito ni Mjumbe wa Kamati ya Madini.
No comments:
Post a Comment