Pages

January 7, 2008

MWANGAZA KIDUCHU KENYA......... Huu waweza kuwa ni mwangaza kidogo ktk kiza kikuu kilichotanda nchi jirani ya Kenya, Kitendo cha Rais Kibaki kutuma ujumbe maalu kwa JK hapo jana na leo Katibu Mkuu wa ODM Prof Anyang'Nyongo kuja na Kuteta na JK na kuwa wako tayari kwa mazungumzo japo kwa masharti ni ishara tosha kuwa ikiwa diplomasia itatiliwa maanani yaweza kuleta amani ya kudumu Kenya na maisha kurudia kama awali. Hakika Hakuna lisilowezekana. TUZIDI KUMWOMBA MWENZEZI MUNGU ILI JITIHADA HIZI ZINAZOFANYWA NA PANDE ZOTE ZIWEZE KUZAA MATUNDA. MUNGU BARIKI AFRICA, MUNGU BARIKI KENYA.

No comments:

Post a Comment