Mwandishi amwagiwa ACID

Mhariri wa Mwanahalisi Saed Kubenea pamoja na mwandishi na mwanaharakati wa siku nyingi Ndimara Tegambwage jana walivamiwa na watu wasiojulikana ofisini kwao Kinondoni na kukatwa mapanga pamoja na bwana Kubenea kumwagiwa tindikali au acid machoni,
Kubenea amekuwa akipokea sms za vitisho toka Juni mwaka jana kabla ya kuchomewa gari yake na watu hao mwezi mmoja baadaye na kudai kuwa uwa ni mwanzo tu na kuwa hasa kinachotakiwa ni uhai wake tu.
Mwanahalisi limekuwa mstari wa mbele kuandika habari za ufisadi hapa nchini sijui kama vitisho na matukio hayo yahusiana na habari hizo ambazo limekuwa likiandika.
Lets wait and see.
No comments:
Post a Comment