Pages

January 9, 2008

Mtaani kama kawa....MWANAHALISI LIKO MTAANI NA NONDO KAMA KAWAIDA. Pamoja na kupigwa, Kukatwa mapanga na kumwagiwa tindikali kwa Wahariri wake wakuu bado limetoka mtaani hii yaonesha kuwa si kazi ndogo kuwafumba watu midomo kwa vitisho ama vipigo kama vile zaidi ndo limepandishwa chati. nathani leo nakara laki zitauzwa.

No comments:

Post a Comment