Pages

January 12, 2008

Mapinduzi day...... Miaka 44 ya Mapinduzi ktk picha. Hii ya mwisho ni mwandishi akizuiwa kufanya kazi yake na askari, hili tatizo litakwisha lini? ina maana huyu askari hajui umuhimu wa mwandishi huyu hapo? au alikuwa anataka aonekane kwao maana ilikuwa "LIVE".

No comments:

Post a Comment