Wale wapenzi rojorojo, mishikaki ya ngombe mpaka samaki na pweza au mwengo, ngisi nk pale Forodhani wakae mkao wa kula kwani bustani ile almaarufu zenji sasa yaboreshwa kwa msaada wa Aga Khan kwa kipindi cha miezi kumi hivi,
ila kwa sasa rojo hizo zitakuwa zikipatikana Ngome Kongwe ndani.
No comments:
Post a Comment