Pages

January 4, 2008

BONGOSALAAM Hapa ni wapi ktk Bongo yetu hii? wengi twapita hapa au kupata kuishi kwa muda fulani hapa na hasa wengi wao wa mlioughaibuni mlipata pita au ishi hapa kwa kipindi fulani kwa shughuri fulani. Je mwaweza patambua kwa kupiti picha hii ilopigwa kwa juu?

No comments:

Post a Comment