Pages

December 8, 2007

Malisho ya mumo kwa mumo ingine au "Zero grazing" ndani ya TSN kati ya Kilasa Mtambalike na Maulid Ahmed,,,,, hapan shaka tutashuhudia nyingi kama hizi hapa ukizingatia idadi ya singles tulionayo. HONGERENI SANA NA KARIBUNI KATIKA CHAMA.

1 comment:

  1. Anonymous2:34 AM GMT+3

    sikubaliana na wewe ndugu mambo ya mumo kwa mumo. hawa jamaa walianza muda tangu mwaka 1998 wakiwa wanasoma wote darasa moja hapo palipokuwa pakijulikana kama TSJ sasa hivi ni sehemu ya chuo kikuu

    ReplyDelete