"
PANAPOFUKA MOSHI CHINI KUNA MOTO"
Jamani mi namsifu sana JK, hili lilikuwa lishawekwa chini ya busati mara baada ya boss PCCB kusema kuwa hakuna kasoro yoyote ktk mkataba huu au hakuna kigogo anayehusika nalo, lakini nasikia kwa shinikizo la Mh JK sasa limeundiwa tume kuhakiki,
Huu moshi unaofuka utaibua nini?
Kwa kweli ongela sana Mh kwani sasa hakika tunaimani kuwa mengi yanayolalamikiwa na wananchi yatafanyiwa kazi na kurejesha imani na heshima kwa wapiga kula wako ambao bila shaka ilikuwa yapungua kiduchukiduchu.
BRAVO JK.
No comments:
Post a Comment