Nyepesi zaidi ni kuwa kuna mabadiliko makubwa sana ktk sekretarieti ya Chama ni kuwa:-
matarajio ya wengi hayakuwa Mzee Makamba kaendelea na nafasi ya Ukatibu Mkuu, ila wafuatao wametemwa,
Mhazini-Rostam Aziz, Naibu K/Mkuu-Jaka Mwambi, Katibu Mwenezi-Agrey Mwanri. nafasi zao zimechukuliwa na Makala, George Mkuchika na John Chiligati.
No comments:
Post a Comment