Pages

November 2, 2007

All roads leads to Dom... Mabasi ya Shabiby yakisubiri wajumbe toka visiwani kuwapeleka Dom kwa ajiri ya mkutano mkuu wa CCM. Dom kwa sasa kumekucha ni ile mbaya mji umechangamka si mchezo, na pa kulala ni kasheshe.

No comments:

Post a Comment