
Tatizo la unyanyapaa au stigma katika jamii yetu linarudisha nyuma mapambano dhidi ya UKIMWI na juhudi nzima ya serikali kupunguza maambikizi, lakini pia linasababisha watu kuogopa kujitokeza kupima virusi hasa vijana na zaidi wanaume,
Wanaume tuaamini kuwa tuko salama sana fikiria mume wa mama huyu ana wake sita na bado anaamini kuwa yu salama sana na kuwa mama huyu ndo mgonjwa pekee,
Kesi za aina ya Bi Namnahuka ni nyingi sana Newala na hapana shaka sehemu nyingine za nchi yetu.
Vita ya Ukimwi haina budi kwenda sambamba na vita dhidi ya unyanyapaa bila hivyo hatupiga hatua zozote makini katika vita kubwa hii.
No comments:
Post a Comment