Pages

October 16, 2007

"Mwanangu Ajuaye alifaulu kwenda kidato cha kwanza 2nd selection lakini ndo kipindi nimezidiwa kitandani sijiwezi ivyo hakuweza kwenda sekondari, kwa sasa amepata kibarua cha kuuza mitumba sokoni Newala ambapo ulipwa shs 500 hadi 700 kwa siku ndo iyo tununuliayo chakula nyumbani.

No comments:

Post a Comment