Pages

October 8, 2007

Baada ya ndoa na hatimaye, Fungate sasa nimerejea tena, wapendwa wasomaji wa blog hii ya Bongo Pix karibuni tena muendelee kupata yanayojili hapa bongo hasa kwa wenzetu mlio ughaibuni na mngari mwapendwa juzwa ya home.

1 comment:

  1. Anonymous3:16 PM GMT+3

    hongera sana ndugu yetu kwa kupata jiko sasa mkubwa mbona umewka picha mpja tuu ya harusii tunakuomba basi uongeze mbili tatu...mama katulia na umeoa kimya kimyaaa
    wadau ughaibuni

    ReplyDelete