Pages

September 30, 2007

Wadau naomba radhi kwa kutowaletea au kupost picha mpya hasa za mshikaji "NYEPESI" akifanya vitu vyake mtaani au za madent UDSM kwani niko HONEY MOON naahidi pindi niliripotipo kwa ofisi nitawapatia mpya mpya kadiri zinavyojili. Asanteni sana.

2 comments:

  1. Najua kuna wakati inakuwa shida kuposti na kuna wakati posti zinkuja mfulilizo. Endelea na kazi nzuri.

    ReplyDelete
  2. Nashukuru Dada Chemi na mwanablog maarufu kwa kunitia moyo, nami napenda pia kazi yako nzuri ktk blog yako, ni kweli ni kazi sana na hasa unapokuwa na majukumu mengine yanayotumia muda wako mwingi, naomba tuendelee kuwasiliana.

    ReplyDelete