Pages

September 16, 2007

Hii ni Mizizi ya polini inapakina mkoani Mtwara tu. swali kwa wabongo waishio ughaibuni Je mizizi hii yaitwaje?

2 comments:

  1. Anonymous3:16 AM GMT+3

    Inaitwa Ming'oko! Inanikumbusha mbali sana wakati ulee tukisafiri siku saba kutoka Dar hadi Mtwara!! Bongo bwana bado sana!!

    ReplyDelete
  2. Anonymous3:16 AM GMT+3

    Inaitwa Ming'oko! Inanikumbusha mbali sana wakati ulee tukisafiri siku saba kutoka Dar hadi Mtwara!! Bongo bwana bado sana!!

    ReplyDelete