Pages

August 7, 2007

Muhogo fresh kabisa huo, wenzetu mlio majuu mwaupata huu, je wale wa longi mwakumbuka enzi za primary za mihogo ya kukaanga, kachumbali kwa wingi na kushushia kwa togwa? aaaah we acha tu.

No comments:

Post a Comment