
Moja ya Mambo niliyokutana nayo ni huduma za jamii, kina mama wanaua ndege wawili kwa jiwe moja ukija kutibiwa wachota na maji kabisa, pia umeme huku ni mgao mtindo mmoja kwani ni jenereta inayotumika ila kwa kuwa Rais wa Mkoa yupo haa ni masaa 24, hii yaitwa mgeni njoo mwenyeji apone.
No comments:
Post a Comment