MGOMO WANUKIA TAZARA
Wafanyakazi wa TAZARA kupitia chama cha wafanyakazi wa reli leo wametangaza mgogoro na uongozi wakidai kulipwa mishahara yao kwa thamani ya dola ya marekani viwango vya miaka ya 90 ambayo ilikuwa 890 kwa Dola. kwa upande wa wenzao wa Zambia ahh kwa ni poa. mmmh jamani hivi sasa kwa walioughaibuni US$ 1 = TZS 1280, sasa hawa TAZARA dola kwa haipandi tu.
No comments:
Post a Comment