Pages

August 21, 2007

Ikulu yajibu, Lile sakata la kusaini mkataba aliloliibua Zitto Kabwe bado bichi, sasa Ikulu yakili kwamba Rais hakujua na kwamba si lazima ajue kama mwandishi wake anavyonukuliwa ktk gazeti la leo la Habari Leo.Nini hatima ya hayo yote???????? tusubiri kwani subira yavuta kheri, na pia Mhe JK anatarajiwa kuzuru huko mgodini wiki hii, Je nini kitajitokeza? na ukweli hasa ni upi? TIME WILL TELL!

2 comments:

  1. Anonymous5:23 PM GMT+3

    MZEEE KAZI YAKOO KUBWA ' TUNASHUKURU KWA KUTUPA HABARI MOTOMTOOOOO..

    ReplyDelete
  2. Anonymous9:05 PM GMT+3

    BONGOPIX HEBU TUSHUSHIE PICHA JK SHINYANGA LEO TUMSIKIA WATU WAMELALA BARABARANI..
    .KAZIIII NZURI MZEEEE
    MDAU WAKO WA KONGO

    ReplyDelete