Pages

June 5, 2007

Bag
Bado ningali udachi na leo hii tulinda tembelea mto eneo moja la utalii la Brandenburg nje kidogo ya jiji la Berlin, Umaarufu wa eneo hili unatokana na Mto Spreewald ambao una matawi yapatayo mia mbili na urefu upatao kilometa 1,200 na usheee hivi.

No comments:

Post a Comment