UDSM VC PROF MUKANDALA. NI 41%NA NUKTA YA WANAFUNZI 16,000 WALOWEZA KUTIMIZA MASHARTI NA KULIPA 40% WALOTAKIWA, ASILIMIA KUBWA WAMECHEMSHA. HATA HIVYO CHUO KITAWARUDISHA WOTE KUENDELEA NA MASOMO BAADA YA KUSAINI FORM YA KUJITIA KITANZI NA TAFANYIKA UHAKIKI WA WALE WASOWEZA KULIPA KABISA KUKOPESHWA 100% KUFIKIA MWISHO WA MWAKA. WOTE 16,000 KASORO 56 AMBAO WANASEMEKANA NDIO VIONGOZI WA MGOMO AKIWEMO RAIS NA WAZIRI MKUU WA DARUSO.
No comments:
Post a Comment