Pages

May 29, 2007

Mwakilishi wa Tz ktk Miss Universe Flaviana Matata amemaliza uwakilishi na kuwamo ktk kumi bora, hongera sana dada Flaviana, hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa na mwakilshi ktk mashindano haya makubwa ya urembo, umejitaidi sana kuiwakilisha nchi yako dada Matata.

No comments:

Post a Comment