Pages

May 31, 2007

Leo hii tulipata nafasi za kutembelea shirika la habari hapa Udachi au DPA yaani dutch press agency na kuona jinsi shirika hili kubwa lilianyishwa 1947 mara baada za vita kuu za dunia.

No comments:

Post a Comment