Pages

May 12, 2007

"Hatukuona rushwa kabisa" PCB yaisafisha Richmond Comp. juu ya mkataba wake na TANESCO, Pia hakuna kigogo yeyote mwenye hisa ktk kampuni iyo. Ndivyo asemavyo mkurugenzi mkuu wa TAKURU kwa Taifa kupitia wanahabari.

No comments:

Post a Comment