Mwasisi wa Muungano Baba wa Taifa alikuwa mtetezi mkubwa wa Muungano hasa baada ya kulazimika kuandika kitabu Viongozi wetu na hatima ya Tanzania ili kuutetea dhini ya waliotaka kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ndani ya muungano maarufu G55 aliamini kwa na serikali tatu ni mwanzo wa kuuvunja na hata leo baada ya miaka ipatayo nane toka afariki bado mwangwi wa yale aliyosema na kutetea waendelea kuvuma masikioni mwa viongozi wetu.
No comments:
Post a Comment