Miss Universe Tanzania 2007 Flaviana Matata (20) anatarajiwa kuondoka mwishoni mwa wiki hii kuelekea Mexico kushiriki mashindano ya Miss Universe Kimataifa atachuana na werembo wapatao 80 toka sehemu mbalimbali Duniani,analiwakilisha Taifa kwa mara ya kwanza ktk mashindano haya. Tummpe sapoti pengine mhandisi huyu kitaaluma aweza kututoa kimasomaso.
No comments:
Post a Comment