Hapana shaka aka ni kaharufu kazuri ka muafaka kati ya CCM na CUF kama Makatibu Wakuu wa vyama ivyo Makamba na Maalimu Seif wanavyodhihirisha. Twaomba ile hali ya kushindwa hata kuzikana iliyokuwa imefikia wakti uleeeeee Visiwani isirejee tena abadani.
No comments:
Post a Comment