Pages

March 21, 2007

Uzinduzi wa Cocacola mpya na mbwembwe zake..Kali zaidi ya yote ni ile ya kuwaodhi waandishi kwa iyari yao usiku kucha yaani masaa 24 ktk hoteli moja ya ufukoni mmh haya tusije pata wakina Koka baada ya miezi 9 yangu macho...

No comments:

Post a Comment