Pages

March 23, 2007

Simba wa Vita Rashidi Mfaume KAWAWA alipotembelea uwanja mpya na wakisasa unaojengwa Dar. HAPA wanatarajiwa Real Madrid kuzingua uwanja huu na timu za majuu zatarajiwa kuweka kambi kuelekea 2010 World Cup Bondeni. wa majuu kina Ndesanjo, Chaaaaazi Hilary, Nducham, na wengineo wengi mwasemaje?

No comments:

Post a Comment