Pages

March 31, 2007

Justine Kasusura akiwa ndani ya karandinga dogo akielekea gerezani kuanza kutumikia kifungo cha miaka 35 na viboko 12. Miaka 6 iliyopita alituhumiwa kuiba dola million 2. kwa madafu sawa na bilion 2 na ushee mali ya citibank...pengine ni kiasi kikubwa kuweza ibwa mara moja. cha hajabu hakuna aliyejitokeza na kusema zile zilikuwa ni dola 2m kulingana na maelezo ya hakimu.

No comments:

Post a Comment