Pages

April 10, 2008

Wangazidja totoz

Pata sura za watoto wakingazidja huko Comoro ambapo vijana wetu wapo wanawakilisha kwa sana, hii aliyopaka ni aina ya krimu kwa wanaita msindano inawafanya waonekane bomba mbaya.

2 comments:

  1. Anonymous4:28 PM GMT+3

    hiyo yaitwa kazi na dawa, ila muangalie msikatae watoto huko maana miezi 3 si michache ati.

    ReplyDelete
  2. acha kutudanganya kama hamfahamu tuulizeni wangazija wenyewe aliyopaka sio cream ni liwa na haina kemikali hata kidogo inasafisha uso na unapendeza.

    ReplyDelete