Pages

February 18, 2008

Karamagi Mtaani

Bongo pixs leo imekutana uso kwa uso na aliyekuwa Waziri wa Nishati Mh Karamagi mtaani akisalimu kila anayekutana naye, ni muungwana kweli bwana huyu.

2 comments:

  1. Anonymous4:11 PM GMT+3

    nyooooo!! cheki fisadi alivyochonga siku mbili tu.

    ReplyDelete
  2. Anonymous8:54 PM GMT+3

    Uungwana ni nn?Kusalimia watu while he's down ndo uungwana?

    Kujikosha huko kwa mafisadi wetu.

    ReplyDelete