TWIGA STARS......
TIMU YA SOKA YA TWIGA STARS JANA ILIPIGWA JEKI NA FIRST LADY AU MAMA NAMBA MOJA MAMA SALMA KIKWETE SHS MILION 2,
SHIME WAPENZI WA SPORTS TUICHANGIE TIMU YETU ILI IWEZE KUFANYA VYEMA KTK MECHI YAO DHIDI YA CAMEROON MWEZI UJAO.
ni kwlei mchango unahitajika kwa hali na mali kufanikicha mafanikio kwa timu yetu hii hongera mzee ntakuja kukuona hapo ofisini kwako nimeona tangazo lako kupitia hiii web http://haki-hakingowi.blogspot.com/
ni kwlei mchango unahitajika kwa hali na mali kufanikicha mafanikio kwa timu yetu hii hongera mzee ntakuja kukuona hapo ofisini kwako
ReplyDeletenimeona tangazo lako kupitia hiii web http://haki-hakingowi.blogspot.com/