Pages

January 22, 2008

BODI RUUM.. Mambo ya kushangaa ni mengi sana bongo na hasa hapo PAITWAPO BOT uwezi amini kuwa pamoja na minara yote hii miwili na jengo la kati lakini bodi room ni kiduchu kiasi kupita mpaka msuguane migongo!!! hivi hilo jengo lote ambalo naamini kuwa ni kubwa kuliko pengine jengo lolote bongo isipokuwa labda bunge ni la kazi gani hasa? au hata wafagizi wana ofisi zilinganazo na flooor nzima?

3 comments:

  1. Anonymous2:33 PM GMT+3

    hao ndo mafisadi, we ulitarajia nini waweke li bodi lumu likubwa la nini?
    watanong'onezaneje ili watuchape maele yetu wadanganyika?
    chambilecho mchungaji....

    ReplyDelete
  2. Anonymous2:47 PM GMT+3

    mshikaji hilo jumba ni chui wa karatasi, changa la macho tu mavioo tu lakini ndani soo,
    njia za watu kula hizo kama wanabisha waseme we jengo toka 98 lajengwa tu.

    ReplyDelete
  3. Anonymous2:58 PM GMT+3

    Hii ndo bongo jamani,
    hivi huyu mama na ako ka ps kweli wanangoja nini?
    hinamaan dili hili lilikuwa la balaa hili pekee, mi siamini au kuna ndumba hapo? mhh jamaa naye kichwa kweli ka kachapa mwenyewe zigo hilo si mchezo.
    ila radio mbao zasema jamaa aweza letwa sandukuni eti, mshazisikia hizo?

    ReplyDelete