tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post8992685171113281989..comments2023-10-03T11:56:06.596+03:00Comments on Rwebangira Blog: Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/11578861525416106169noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-91092004375480473412008-01-15T14:32:00.000+03:002008-01-15T14:32:00.000+03:00Sure Kalembo, huyo sister anatuyeyusha sio siri,Hi...Sure Kalembo, huyo sister anatuyeyusha sio siri,<BR/>Hivi hiyo Kagoda na Rostam na yeye pana nini hapo? atuweke sawa kwanza kuhusu yeye na Rostam alafu huyo braza na kagoda kisha ndo aluke mita, other wise atumwelewi ng'o.<BR/><BR/>nakumbuka minong'ono wa ndoa yao last year pitia jambo forum.....what happened then?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-27937705940889438992008-01-15T13:58:00.000+03:002008-01-15T13:58:00.000+03:00Huyo Sister anazuga tuu, anafahamika vyema toka al...Huyo Sister anazuga tuu, anafahamika vyema toka alipokuwa wizara ya maliasili. Hivi tusema mgawo wake angepata angesema yote hayo!!, haiji akilini, kwa muundo wa serikali ya Wadanganyika, Gavana yuko chini ya waziri, pia Gavana ni signatory mwenza wa waziri, hivi ni kweli waziri wa feza anaweza kusaini dokument pila kusoma.Asituletee za kuleta huyo musisita, waziri anawasaidizi kibao, kuna katibu wake, wachumi waliobobea na wote wanapitia dokumenti kabla haijamfikia huyo Mungazija asituletee, huo ni mchezo wao wa kila siku. Hivi kuto kujua sheria kuna halalisha kutenda kosa?. Huyo naye aunganishwe tuu kwenye soo hiyo, kwanza nina wasi wasi na uraia wake na issue nzima ya kuto kuwa mkweli kuhusu aliko BalaliAnonymousnoreply@blogger.com