tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post8329442600188493232..comments2023-10-03T11:56:06.596+03:00Comments on Rwebangira Blog: Fidia ya mabomu ni balaa tupu.Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/11578861525416106169noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-33055122490486298512009-08-16T05:45:30.284+03:002009-08-16T05:45:30.284+03:00Dah!! Natumai SERIKALI ianweza kusimamia hata wale...Dah!! Natumai SERIKALI ianweza kusimamia hata wale wanaoathiriwa na ajali mbalimbali kupata fidia zao. Tunaamini sheria za Tanzania ni kwa basi kuwa an BIMA ili kuwawezesha wanaomiliki kumudu gharama za dharura kama ajali. <br /> Lakini nina wasiwasi kuwa michakato ya mwakani ndio imeanza na hakuna shaka kuwa malipo haya AMBAYO NI HAKI YA WAATHIRIKA yanatolewa kwa kuwa watu wanajitengenezea mazingira mazuri ya uchaguzi ujao.<br /> Amesema yote Kakangu Kamala nami sina la kuongeza. Labda umfuate hapa (http://kamalaluta.blogspot.com/2009/08/maisha-bora-yashafika-hamyaoni.html)<br /> JUMAPILI NJEMA KAKAMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com