tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post8232296871103293204..comments2023-10-03T11:56:06.596+03:00Comments on Rwebangira Blog: LILIYEYUKAJE HILI DUBWANA??????????Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/11578861525416106169noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-24841180759140263722009-02-19T00:48:00.000+03:002009-02-19T00:48:00.000+03:00Poleni sana Watanzania wenzangu hayo ni maisha ya ...Poleni sana Watanzania wenzangu hayo ni maisha ya Bongo chochote kile kinawezekanavyo .Hata hukienda Ikulu hukitaka TV ya JK Hutaletewa mradi huwe na kitu kidogo siyo.Watu wote wananjaa na hawana Uzalendo na nchi yao kila mtu mission hata Mapolice wanakula deal siyo .Aibu tupu but that real life for Wabongo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-67894577902235381302009-02-17T18:45:00.000+03:002009-02-17T18:45:00.000+03:00WIZI MTUPUNAOMBA HILI TULIPIGIE KELELE HADI KIELEW...WIZI MTUPU
NAOMBA HILI TULIPIGIE KELELE HADI KIELEWEKE, WANATUFANYA WATU KARBU 50M WAJINGA? SAWA WAO MADOKTA NA MAPROF WA VITU IVYO NA WENGINE HATA DARASA LA SABA HATUKULIONA ILA THIS IS TOOO MUCH.
NAOMBA MTU AELEZEE TUELEWE!Jianghttps://www.blogger.com/profile/09430266404066393581noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-57164279795743727832009-02-16T22:08:00.000+03:002009-02-16T22:08:00.000+03:00WIZI MTUPU......WIZI MTUPU......Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-9929722924462027802009-02-16T18:35:00.000+03:002009-02-16T18:35:00.000+03:00Inasikitisha sana, sidhani kama ni mwizi wa nje al...Inasikitisha sana, sidhani kama ni mwizi wa nje aliingia hapo hospitalini na kujua mazingira yote ya hospitali na kunyakua hiyo mashine huyu atakuwa ni daktari tu mwenye njaa, akiwepo zamu aliwakeep wenzie busy afu akatorosha mashine ya kutibu watanzania wengiwao wakiwa maskini, kwa sababu mafisadi wanaweza kwenda kutibiwa india ye akaona bora awakomeshe maskini, ila ajue Mwenyezi Mungu amemuona na akipatikana anastahili kifungo cha maisha. Na aieleze jamii lengo lake hasa la kuiba hiyo mashine hata kama alitaka kuanzisha hospitali ya binafsi hii ni hatri sana jamani.., mtaani kumekuwa na madaktari wengi wanaotibu watu majumbani mwao siju serikali inalichukuliaje hili?

(Mzawa)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-46188934012543809432009-02-16T17:52:00.000+03:002009-02-16T17:52:00.000+03:00Waswahili siku wanasema kila mtu anatengeneza mazi...Waswahili siku wanasema kila mtu anatengeneza mazingara ya EPA pale alipo.
Hi ni wizi wa ndani na hakuna aliyechukuliwa hatua kwa uzembe au kutia taifa hasara.
Mdau
FaustineFaustinehttps://www.blogger.com/profile/17253666093262801440noreply@blogger.com